Mnielekeze jinsi kutengeneza groups kwa WhatsApp.

Mnielekeze jinsi kutengeneza groups kwa WhatsApp.

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
Habarini.
Hivi group kwa WhatsApp ndo wanatengenezaje.
Na link ya kuwalika watu ndo unaipataje.
Msaada wenu tafazali.
 
Nenda kwenye menu ya whatsup itakuletea option ya new group ukiklick hapo itakwambia add participants utachagua unaowataka, group icon na jina la group na wewe ndo utakua admin wa hilo group unaweza kuadd au kuremove yoyote au kumpa mwingine uadmin yani kunaweza kuwa na admin zaidi ya mmoja
 
Yaani kama umeweza kujiunga JF au hujui kuunda grup basi nyie ndo wale elim za mwendo kasi
 
Back
Top Bottom