124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,522
Wakuu naombeni msaada wa codes jinsi ta kuangalia namba ya simcard kwa mtandao wa tigo.
Nimerithishwa mobile wifi ya tigo na huyo alienirithisha hakumbuki simcard number.
Pia kama kuna uwezekano wa kuicrack hii modem ili itumie mitandao yote.
Huawei mobile wifi E5221
model E5221s-2.
Natanguliza shukrani