Msaada wa kujua jinsi ya kufunga geti la kufunga na kufungua kwa kutumia remote

fansureboy

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
271
320
Habar zenu wana Jf. .
Naombeni msaada wa kujua vitu gani na vinapatikana wapi na kwa kiasi gani kwa ajili ya geti la kutumia remote control
 
Cc dronedrake kwa haraka haraka hapo unahitaji Motor ambayo itazalisha mechanical energy kwa ajili ya get kujifunga na kufunga unahitaji Transmitter na receiver iwe programmed kufanya hio kazi ya switching naweza kukutetegea na sensor gari ikisogea basi geti inafunguka yenyewe kiusalama kuna kifaa ntafunga kwa ajili ya gari zitazotumia hio njia ya automatic sio kila gari itafunguliwa hapana gari zingine ukitaka kuziruhusu utafanya switching through remote au simu yako karibu 0768501301 Ni WhatsApp
 
Back
Top Bottom