NAHITAJI MOTHER BOARD YA TOSHIBA

NAHITAJI MOTHER BOARD YA TOSHIBA

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,093
Reaction score
22,817
Habari zenu wadau......

Kwa wale ambao wataweza kuwa msaada kwa vitu viwili......
Kwanza ni kunisaidia kupata fundi mzuri wa kutengeneza laptop.......si hawa mafundi uchwara ambaye anagusagusa kitu na kubahatisha tatizo lipo wapi.......nahitaji fundi haswa ambaye akionyeshwa tatizo la mashine ni ghafla anajua wapi anaanzia...... hivyo naomba msaada wa kupata fundi mweledi na mwenye ujuzi wa ukweli na si fundi uchwara.......!


Na kama hilo la juu ni gumu kupata msaada basi shida yangu ni kupata mother board kamili ambayo ni nzima na inafanya kazi bila shida.........au namna naweza kuipata kama ni kwa kuagizia.......laptop yangu ni TOSHIBA TECRA R700 ........limited version kutoka CANADA.
 
Back
Top Bottom