Blog yangu inasumbua.

Blog yangu inasumbua.

Bhudagala

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
325
Reaction score
317
Habari! Blog yangu inasumbua sana, kwanza haipost video. Ukipost video basi inaleta image tu ya mwanzo ya video husika.
Pili, nashindwa ku-signup kwenye Earnings kuruhusu Google Adsense ilihal kuna mtu alisema siku hizi sio lazima Blog itimize miezi 6 ikiwa "active".
Msaada wana JF.
 
Blog yangu KALUNDE INFORMATION CENTRE. inasumbua sana, kwanza haipost video. Ukipost video basi inaleta image tu ya mwanzo ya video husika.
Pili, nashindwa ku-signup kwenye Earnings kuruhusu Google Adsense ilihal kuna mtu alisema siku hizi sio lazima Blog itimize miezi 6 ikiwa "active".
Msaada wana JF.
Tumia Youtube Embed code kuweka video zako kwenye blog, pia ni kweli sio lazima blog ifikishe miezi 6 ndo iwe "verified" ku-signup kwa adsense lakin iwe na traffic ya kutosha na lugha ambayo adsense wanaikubali. Hata hivyo utakesha kwakuwa google sasa wana kampeni kali mtandaoni. Lingine badili muonekano wa blog yako-change au redesigne..ila kama utahitaji account ya adsense utumie kwenye blog yako fasta fasta...ni PM tuongee bei.
 
Owkey
 
Back
Top Bottom