JF app imegoma kufunguka karibu mwezi sasa

JF app imegoma kufunguka karibu mwezi sasa

malaika wa motoni

Senior Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
131
Reaction score
102
Wakuu aman ya bwana iwe juu yenu. Me natumia iphone 6s, ni mwez sasa na siku kenda app ya JF imegoma kabsa kufunguka Kila niki refresh nambiwa no new topic. Hapa imebidi nifungue website ya jamii forums kwa kutumia safari browser,

Please naomba msaada wenu. Asante
 
Back
Top Bottom