Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,203
- 7,625
Jamani wakuu naombeni msaada wa kujua ni software gani ya PC naweza itumia convert mp4 files kwenda DAT files coz nataka kuburn CD ya video lakini kila nikiweka nyimbo za mp4 kwenye ashampoo zinagoma..
Nikajaribu convert na video converter but bado zinagoma..ila nikichukua CD ilioburniwa nikaweka nyimbo zile kwenye ashampo zinakubali...nisaidieni aseee jinsi ya ku burn vdeo zilizo kwenye format ya mp4 kuweka kwenye CD ya video itakayoweza play kwenye hizo deki zetu home.