Natafuta fundi simu

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,625
1,619
Habari wakuu..

Nina simu yangu aina ya HISENSE imekufa screen touch yake, kwa fundi au mtu ambaye anaweza kuitengeneza tuwasiluane.

Mimi niko kibaha, so kama uko tayari ni PM namba yako ili nikutafute.

3655bbfbfc9d618afb094c93c79704ed.jpg
 
Back
Top Bottom