Kwa wale wapenzi wa games kwenye smartphone tukutane hapa

hashimrashidy

Senior Member
Sep 11, 2015
197
145
Habar zenu wakuu...naombeni mnijuZe ni games zipi zinakuwa na multiplayer kwenye smart phone yani mfano kama kwenye mpira tuna kuwa na simu mbili kila mtu anachagua timu yake lakn tuna cheza kwa wakati mmoja...naomba mniwie radhi kwa ambaye hajanielewa
 
Back
Top Bottom