God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Sina utaalamu wowote za kuangamiza virus kwenye computer zaid ya kutumia anti-virus program.
Leo nilipeleka flash yangu stationary kadhaa ikagoma kufunguka ndio nikafikia moja hiyo hapa mjini na baada ya kuwasili hapo ststionary nikapokelewa vizuri.
Jamaa akaniita akaniambia flash yako inatatizo nikamwambia ndio kilichofata aliingiza namba flani nikashangaa kuona hii flash imefunguka na virus wameisha wote.
Nilitaka anipe hii elimu lakin alikua na wateja wengi hivyo sikuweza.
Naombeni wataalamu mtupe hii elimu jaman.