Nashindwa kusoma Article za Pdf and Word kwenye tablet yangu

BARA BARA YA 5

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
1,125
732
Habari Ndugu,
Natumia Samsung tablet kwa miaka 3 sasa. Inanipa changamoto, kila nikidownload document za Pdf na Word zinagoma kufunguka.

Naombeni msaada kwa hilo.
 
Download application inaitwa WPS office.
Au ikishindikana download chrome browser then kwenye settings kuna sehemu unaset unaweza kufungua PDF yeyote online bila hata kuidownload.
 
1474374247690.png
 
Habari Ndugu,
Natumia Samsung tablet kwa miaka 3 sasa. Inanipa changamoto, kila nikidownload document za Pdf na Word zinagoma kufunguka.

Naombeni msaada kwa hilo.

Labda nikushauri kwanza baadhi ya vitu vya kuangalia

1. Unaweza kudownload app nyingine zaidi Ya hizi pdf readers?

2. Umecheki storage space? Na hizo attachment zinasomeka uki-download kupitia kompyuta?

Kama jibu ni ndio..then nakushauri kwanza download app inaitwa "Google drive" (kama haipo automatically tayari) unaweza kutumia Google drive kuhifadhi automatically online attachment zako zote, then ukazisoma bila kuhitaji kuzi download..lakini Pia ukazi-attach tena ukihitaji kufanya hivyo...

3. Kama sio, then tatizo lipo kwenye Operating System (android) yako yenyewe na sio apps labda itakubidi ufanye update kwanza.
 
Ili upate app inayoweza kufanya vizuri unatakiwa ununue kule kule kwenye play store kuna za kununua so nunua zile they'll work, ila lazima uwe umejiunga ile online patches kwa kutumia bank inayoweza kufanya hivyo, ukiona unagoma nipm
 
Back
Top Bottom