Canon ir2420 error

Canon ir2420 error

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,481
Reaction score
1,355
Wadau Habari za mida hii, Nina machine Canon ir2420, inanipa error ya Bios Mode waiting for update. Hiyo msg inatokea Mara baada ya kuiwasha. Please naombeni Msada wenu wakuu.
 
Tafuta na pakua "Firmware Update Tool Ver. 24.00 for Windows"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom