Msaada simu yangu ina virus

Msaada simu yangu ina virus

Ingi playstore download adblocker browser na jaribu kuitumia iyo kusurf
Au download latest operamini browser..(ina adblocker)
 
Ahsante, tatizo linalonikumba nikiwa Facebook, Twitter, Instagram, jf n.k. nikukuta link inayohusu stori fulani nikifungua inanipeleka kwenye browser but inaniletea website tofauti ambazo nimeziorozesha katika original post yangu.
 
NDO HIVYOO KASHAKWAMBIA HIZO NI ADS SO DOWNLOAD ADBLOCKER AU TUMIA OPERAMIN INA ADBLOCKER MOJA KWA MOJA
 
Back
Top Bottom