KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Wakuu heshima iwe kwenu natumai mmeshinda salama naombeni msaada kwa wazoefu wa mambo haya ya umeme.Kati ya hizi Main Switch ipi ni nzuri zaidi ya nyingine na bora kwa matumizi ya nyumbani TRONIC ONESTO HALVES.