Msaada kwa techno P5, line haisomi

Msaada kwa techno P5, line haisomi

kipusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
443
Reaction score
75
Simu yangu ina tatizo la kusoma line nikiweka line katika simu inasoma, ila minara haisomi inaandika EMERGENCY CALL - Airtel na baada ya muda inasoma alafu tatizo linarudi sijajua ni kwanini.

Msaada kwa anaefahamu.
 
Agalia imei bonyeza *#06# halafu hizo tarakimu 15 zitume kwenye namba 15090 utapata jibu zuri km imefungiwa au la
 
Back
Top Bottom