Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,254
Wakuu ni matumaini yangu mko poa wote..shida yangu ni moja naombeni msaada wenu nataka kudownload formware ya android marshmallow ikiwa kwenye mfumo wa zipped file coz nataka niupgrade OS kutoka lolipop 5.0.2 kwenda marshmallow..so mwenye link au anae weza nipatia link ambayo nitapata iyo OS Iwe ni official verified kutoka kwa agent anaye aminika e.g TECNO wenyewe anisaidie ...plz
Nawasilisha.
Nawasilisha.