Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wana JF, napenda kujuzwa jambo hili la jinsi ya kutumia hio sim card slot kwenye laptop, maana laptop nyingi zinakuja na hio slot na wengi wetu kama mimi hatujui jinsi ya kuzitumia. mwenye...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wasalamu wakuu!!!! Naomba kwa yeyote anayefahamu program nzuri nitayoweza kuinstall kwenye PC, ili iwe rahis kuamisha mafaili ,kwa sababu kuna shughuli nzito ya kuhamisha mafaili yenye GB kubwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kuna uwezekano ni hatua zip kufuata ili uwe na uwezo wa kutumia 4G simu ambayo inasoma 3g. Particularly kwenye device yangu ambayo ni TECNO 8H Chief-Mkwawa
0 Reactions
21 Replies
5K Views
hv wana IT ni mtandao gani una vigezo vifuatavyo katika internet kwa matumizi ya kompyuta/ laptop. 1. una speed ya hali ya juu. 2. vifurushi vyake vya MB ni nafuu. 3. hausumbui wakati wa kudownload.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
wakuu habarini za mchana! wadau naombeni msaada wa jinsi ya kupata video za masomo ya kufundishia mbali na kutumia video za youtube, kwa mfano video zinazohusu pysical geography, kama kuna mwenye...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakubwa shikamooni, Wadogo marahaba, tunaolingana mambo. Jaman baadhi ya chenel kwenye kingamuzi cha AZAM tv ukiiclick inaandika channel is scrambling, ina tatizo gani? Kwa mfano fox sposts...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
does someone knows how to unlock iphone 6s help please
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samsung finally explained why Galaxy Note 7 batteries are exploding By Chris Smith on Sep 8, 2016 at 11:23 AM Mobile Share This Story Tweet Like Share Submit Shop ▾ Image Source: Zach...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Natumia techno p5... Leo nmebadili ROM ya lollipop 5.0 kwenda window phone 8.0......chakushangaza instragram haisapot n camera haipo......kila nnayo danload inagoma
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mi siipendi smart phone yangu kwa sababu zifuatazo: 1.Kamera yake haina uwezo wa kupiga picha angavu mchana kama usiku na usiku ndo sisemi. 2.Uwezo wake wa kuandaa taarifa ni mdogo sana siwezi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
za sa hizi wadau pc yangu imeanza kuleta shida gan sijui yan pointer haionekani nagusa hii touch pad lakin wapi help please thanks
0 Reactions
9 Replies
703 Views
Salaam Wakuu. Hope mko okay kabisa. Well, naulizia sms blocker nzuri inayoweza kublock sms na kwa mtumaji isionyeshe report kuwa msg imefika, yaani isionyeshe double tick kwenye msg aliyotuma...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari za mida hii wana jf cm yangu huawei g620 haifungui pdf tatizo ni nini
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inahusiana na nini ? Msaada
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Assalamu’alaikum warahmatullahi wabarakatuh Email: classicbizmm01@gmail.com Whatsapp: +254706534969 Samsung Galaxy NOTE 7, factory unlocked Lenovo - Yoga 900 2-in-1 13.3 Touch-Screen Laptop...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu humu ndani nakuja kuomba msaada mnisaidie Account yangu ya bank niliunganisha na PayPal account sasa nakuta account yangu inakatwa hela ambazo sielewe ni ali-hack akaundi yangu na akaanza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani wakuu kutokana na ugumu wa maisha hasa malipo ya hivi visimbuzi nikaamua kujikwamua wa kununua LED tv ambayo ina kareceiver kwenye uwezo wa kupata baadhi ya digital channel za nyumbani...
1 Reactions
20 Replies
8K Views
Anayejua FTA channel za bongo kama zinaweza patikana kwenye Ku anisaidie maujuzi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nime download secure vpn ya tor ila niki connect alafu nikija kwa internet haipatikani nikii disconnet napata internet inakuaje?.
0 Reactions
0 Replies
510 Views
Habari wapendwa! nimerudi tena najua hapa haliharibiki jambo. compyuta yangu aina ya dell nimeinstall window 7 profesinal haitoi sauti. Naomba mwenye kujua jinsi ya kuirudisha sauti au mwenye...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…