Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 916
- 931
Habari wanaJF, kama kichwa cha habari kinavyojielezea , natafuta web and mobile developers ambao tunaweza tukakaa chini tukaanzisha computer lab ya kudevelop system/app kama group. Au kushare project ideas na ku implement kama group. Mi tayari na computer lab na projector kama resources. Nataka group liwe kama saccos kila members anachangia mchango kama vile umeme pamoja nakununua data(internet from TTCL per month unlimited access) kwajiri ya matumizi yetu ya project na kugoogle vitu online. Kama vijana wa IT tunaweza tukajiajiri kupitia mradi huu.
Kwa sasa mimi nipo dodoma.
Nawakilisha, kama kuna mtu anaongezea atumie busara kutoa maoni yake.
Kwa sasa mimi nipo dodoma.
Nawakilisha, kama kuna mtu anaongezea atumie busara kutoa maoni yake.