LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,700
wakuu simu yangu ime`stuck,haisense kabisa kwenye touch,hadi ni`touch kama mara tano hivi ndio inakubali na si mara zote,nikipigiwa ndio hata siwezi kupokea,hai`function chochote,chanzo cha tatizo nilitaka kuibadirisha nyimbo nikaichomeka kwenye pc,nyimbo nikashindwa kuweka na nilivoichomoa ndio tatizo hili likajitokeza,mbaya zaidi kuna kijisauti kinakera mtu anaongea kila ninachofanya,nikigusa settings sauti inaji`backup settings,kama naichukia hivi,nimejaribu namna zote imenishinda,msaada kwa mwenye experience na hili tatizo,ali`fix vipi?