mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Habari za jioni wakubwa,nahitaji kufahamu mtandao wenye bando nzuri za internet ambao unatoa mb za kutosha kwa gharama kidogo kati ya Airtel,tigo,voda na halotel
Mkoa gani hiyo na menyu yake ya kupata hiko kifurushi ni ipiMi natumia airtel uni sh sh. 500 napata gb 1.2 kwa saa 48. Sijajua km hizi vocha zinatumika mikoa yote au vp
Ooh kumbe upo nyumbani kwetu kabisa dha ni nzuri au nikutumie jero airtelmoney uninunulie nijaribu huku moro kama itakubaliMbeya
Nitext hapa 0718126228
Nimeipenda
Tatizo hawa Jamaa speed ni 0 kabisa.mi pia naungana na wadau hapo juu vocha za chuo airtel ndio zinatoa mb nyingi, kuongezea sh 600 unapata 10gb za saa 5 usiku hadi 12 asubuhi zitumike siku 3 na sh 1000 ni 2gb, dk 100 airtel-airtel na dakika 10 mitandao yote kwa siku 3
[emoji38] kila mtu na lake la kuringia wewe unaringia mb za airtel nikadhani halotel ama vodacom pambana nazo mkuu huo ni mzigoNimeipendaView attachment 396485
Inategemea na mahali ulipo. Mm kwangu ipo fastankuliko mtandao mwingine na ndio maana sina mpango wa kuhamaTatizo hawa Jamaa speed ni 0 kabisa.
Hizo vocha kujiunga ni lazima laini yako mpaka iwe laini ya chuo au no vocha tu?Mi natumia airtel uni sh sh. 500 napata gb 1.2 kwa saa 48. Sijajua km hizi vocha zinatumika mikoa yote au vp
nje ya chuo chochote utazikuta, mitaani pia zipo sema wanaongeza bei unakuta ya 1000 wanaiuza 1100.Kwa tunaoishi Dar tunazipata wapi hizi vocha?
huhitaji line ya chuo ni vocha tu. kama unaishi mbali na chuo unaweza nunua vocha za mwezi mzima ukakaa nazo kwenuHizo vocha kujiunga ni lazima laini yako mpaka iwe laini ya chuo au no vocha tu?
kwangu inarange 8mbps hadi 12mbps. Airtel hawana ping nzuri ila speed yao ni nzuriTatizo hawa Jamaa speed ni 0 kabisa.