Software muhimu kuwa nazo ktk pc yako (Windows) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Software muhimu kuwa nazo ktk pc yako (Windows)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Paul S.S, Jun 13, 2011.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Wadau kwa kawaida kila mtumiaji wa pc anakuwa ameinstall software ktk kompyuta yake kwa kadri ya mahitaji ya matumizi yake,
  Mtu anayeshughulika na mambo ya video production na photos atatumia software tofauti na mtu kama accountant, architecture au Djs nk.
  Ukiachilia mbali zile software muhimu kwa kazi zako kuna software nyingine ambazo in general ni muhimu kwa usalama,urahisishaji,urekebishaji na usafishaji wa pc yako kuhakikisha inafanya kazi vizuri na kwa ufanisi hasa kama unakuwa connected na internet

  Anti-Virus Software

  Hii ndio software ya kwanza kabisa kufikiria kuiweka baada ya kuistall windows yako. kuna virus wengi sana wametengenezwa kushambulia pc yako na antvirus ndio njia pekee ya kukabiliana na hili,
  So ni uchaguzi wako utapendelea ipi

  Windows Maintenance

  These are programs that keep your Windows installation into a shape. As you use your computer day by day its performance may drop because of various issues that are generated with everyday usage.
  Hapa zinaongelewa software zitakazo ifanya pc yako ifanye kazi yake kama inavyotakiwa
  Ccleaner,
  registry easy,
  Registry Machenics
  nk kwaajili ya kumeintain windows installation na kurepair registry

  SpeedUpMyPc kwa kuifanya iwe faster zaidi

  Revo Uninstaller au unistaller zingine: inashauriwa kwa ku uninstall vitu bila kuacha mabaki ya registry ktk pc

  EASEUS patrition master:For creating and manage disk patrition in windows sysytem

  DOWNLOADER
  Mara nyingi watumiaji wa pc wanaoingia online hupendelea kudownload vitu mbali mbali kama softwres, miziki, movies nk, hapa kunakuwa kunahitajika downloader itakayo fanya kazi hii kwa ufanisi zaidi na kwaharaka kuliko downloader za browser.
  Internet Download Manager: Hii inaaminika na wengi kwa ufanisi wake pia inao uwezo wa kudownload youtube videos, pia zipo
  Free Download Manager,
  Orbit nk
  Archiving Software
  Katika dunia ya IT kwa sasa software hii ni muhimu sana kuwa nayo kwasababu vitu vingi sana vinavyokuwa katika internet vya kudownload vina kuwa katika mfumo wa compressed to archives, inahitajika software maalumu kuweza kufungua mafaili haya, so nimuhimu kuwa na software mojawapo ya hizi kufanya kazi hiyo.
  WinRAR,
  7zip,
  Power archiver
  nk

  MALTMEDIA SOFTWARE
  Kwa media player maranyingi wengi wetu ni wapenzi wa kusikiliza muziki lakini Windows media player haisapoti baadhi ya format za muziki, unaweza kudownload muziki au mfano youtube videos hizi hazipo sapported na windows meadia player hapa unahitaji software itakayo weza kuplay hizo format au kuzi convert zinazogoma kwa windows player.
  VCL: Hii imeshikilia soko na ni ya kuaminika kwa kuplay format za aina tofau tofauti
  Umedownload mafaili yaliyo katika mfumo(iso image) ambao unabidi utumie software kuweza kuhifadhi katika cd/dvd au umeazima cd/dvd unataka kuicopy fasta, unahitaji software hizi
  Ashampoo burning studio
  Nero nk

  PDF READER
  Kuna mafaili ambayo yapo katika mfumo wa PDF uwezi kuya fungua kama hauna software ya kufungulia mafaili hayo
  Adobe reader
  FoxitPhantom nk

  TORRENT CLIENT
  Asilimia kubwa ya software nilizo zitaja ni za kununua, lipo kimbilio la walala hoi unakwenda ktk torrents site unatafuta software utakayo bure ikiwa na keys au cracked. ila huwezi kuipakuwa hadi uwe na torrent client installed in your pc.
  Hapa sasa ndio umuhimu wa torrents client unapo kuja, baadhi ya torrents clients ni
  Vuze
  Uttorent
  Bittorrent nk Je nisoftware gani nyingine unadhani ni muhimu kuwepo katika kompyuta yako?
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  upo juu
   
 3. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Hiki ndo tunacho kitaka,
  Gooooooooooooddddddddddddd!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  This is want we need into our Forum rather thn gosspng,
  INFORMATION TECHNOLOGY IS EVERY THING IN THIS GROBALIZATION
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa kuongezea Kuna hizi za muhimu nadhani kwa kila mtu

  • Office programs - Inaweza kuwa Ms office au Open office.
  • Browser ambazo ndio tunatumia kupata internet My choice ni Firefox nyigine ni chrome na IE.

  Nyingine inategeama na mahitaji tofauti ya mtu mtu eg binafsi natumia

  • Hidemyip - zipo application nyingi kama validia. Inaniwezesha sometime kuona vipindi vya BBC ambavyo ni wa ajili ya watu wa UK tu.
  • Adobe CS5- Hii sana sana natumia photoshop na na Dreamwever.
  • Editplus- Hii naitumia atika editing au trubleshooting code za HTML, PHP, JAVA
  • Backtrack- Hii ni nzuri kwa watu wanaopenda kujifunza mambo ya IT security kwa vitendo. BackTrack Linux - Penetration Testing Distribution.
  • Japo si mtaalam sana wa mambo ya simu kuna hii kitu inatumika kufanya analysis ya simu http://psas.revskills.de/?q=node/6. Inaitwa Revskill before ilikuwa inaitwa QMAT
   
 5. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #5
  Jun 13, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  hii Ccleaner ni moja ya utility ambayo naikubali sana. thanks wadau mliotangulia maana "nimeelimika" zaidi
   
 6. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #6
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  Jun 13, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Hapo kwenye red napenda hiyo kitu na nimeidownload tayari lakini inazingua kutumia, ngoja niifanyie mpango mkakati
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Launchy
  Inalaunch program kiurahisi zaidi.

  F.lux
  Inacontrol rangi na mwanga wa monitor kutegemea na ulipo duniani na jua liko wapi, inapunguza sana maumivu hasa kama unatumia screen yenyw mwanga mkali.

  Everything
  File searcher yenye speed ya ajabu.

  Notepad++
  Notepad bora zaidi, hasa kama unaprogram.

  WinDirStat
  Inaonyesha nafasi kwenye HD inavyotumika kwa kutumia graphs.

  TrueCrypt
  Unaweza kutengeneza encrypted storage ambayo haiwezi kufunguliwa hata na FBI/CIA au unaweza kuencrypt hard drive nzima.

  SumatraPDF
  Fastest PDF Viewer.

  Comodo Browser
  Browser inayotumia same code as Chrome ila haina madudu ya Google ya kufuatilia watu.

  DropBox
  Sync mafaili kupitia mtandao.

  Foobar2000
  Mp3 player nyepesi.

  CDBurnerXp
  CD burner.

  Virtual Clone Drive
  Software ya kumount disk images, .iso .img etc..
   
 9. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mkuu hii bitlord hai itaji setting za kuongeza speed kama Utorrents inavyo fanyiwa settings ili iongeze speed na unaweza ukazi install zote u torrent na bitlord pamoja zikafanya kazi?
   
 10. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #10
  Jun 13, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  BASI NYIE MLIOKUWA WAGENI.... HII NDO ILIKUWA JAMBOFORUMS YA WAKATI HUO.....! ungeweza kuta 90% ya mada ni constructive
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Jun 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Na kwa wale wanaopenda kujifunza na kujaribu kwa vitendo mambo ya web development na web programmin kuna hizi add on ni nzuri sana kwa firefox

  Debuging troubleshooting or editing HTML , CSS, Java script inakuwa rahisi na unaona in real time ,effect ya changes unazofanya.
   
 12. Firefox

  Firefox Senior Member

  #12
  Jun 13, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  hapo kwenye red mkuu,
  aliyetoa mada kasema software zinazorun kwenye windows hapo kwenye red.
  By the way backtrack is gud o.s kwa wale wazee wa c.e.h
   
 13. Dazyd2f

  Dazyd2f Member

  #13
  Jun 13, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Guyz this z what we have to share...........
   
 14. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hapo nimekukubali mkuu. Asante sana.
   
 15. Lawkeys

  Lawkeys JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 1,110
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  wakulu pdf reader ya blackberry napata wapi hiyo. Hebu fanyeni maujanja basi
   
 16. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nimepata maarifa mengi sana hapa mpaka naanza kusahau jukwaa la siasa
   
 17. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #17
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  DVDFab 8 Kufungulia password kwenye zile DVD wanazofunga zisinakiliwe.
  CuteFTP 8 Professional Kwa ajili ya ku upload website na kuwasiliana na server
  FastStone Photo Resizer Hii kitu ni kwa ajili ya kupunguza resolution ya picha. Ni nzuri sana. Na inafungua bulk pictures pia.
  PowerISO Kwa ajili ya ku extract ISO images
  QuickTime Player Hii player ni muhimu kwa kuwa kuna clips nyingi kwenye net zimewekwa kutumia kitu hii.
  USB Disk Security Autorun na threats nyingi ukichomeka kitu chochote kama flash kwenye USB hakiwezi kukatiza. Sasa hivi iko version 6 ni bomba sana.
  e-Sword kwa wenzangu mimi Christians huu mtandao wa biblia hii usiikose ni murua sana. Nina versions kama 6 za biblia hapa.
  Revo Uninstaller Sifuti tena program kupitia Add/remove program kwenye control panel bali hii inaondoa chafu yote bana bila kubakiza kitu.

  7-Zip Hii bana inafanya kazi kama Winrar.
   
 18. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #18
  Jun 16, 2011
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 581
  Trophy Points: 280
  mkuu mi natafuta USB disk security yenye key zake
   
 19. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #19
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwenye red: umenitisha mkuu, ebu tupe ufafanuzi zaidi wanafuatilia watu kivipi? imedibidi ningoe Chrome na kuweka Comodo japo ni copy n Paste ya chrome but nimeipenda.
   
 20. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Chrome inatoka kwenye open source project ya Chromium, Comodo nayo inatoka humo humo, wakati Chrome ilipotoka kulikuwa na reports kuwa Google wamechomeka code za kutrack matumizi ya mtandao ya mtu, hii inawawezesha kukuonyesha matangazo kwa ufanisi zaidi.
   
Loading...