Itel 1556

Itel 1556

Nzuri kwa betri tu,ina betri kubwa la 5000mAh,kama mroho kwenye kudownload,kustream na kuangalia offline videos utakimbia mwenyewe,inakaa sana na chaji.
Lakini kwingine kama kamera na RAM siyo nzuri,ina kamera ndogo sana ya 5MP ya nyuma,na mbele ni 2MP,RAM ndiyo kabisa Hamna kitu,ina 512MB.
 
Back
Top Bottom