Naombeni ushauri wenu nifanye nini blog iliyo na matangazo ya adsense inilipe dolla 5 nakuendelea??

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,306
Jamani kuna hii blog yangu halo news: We are committed to working with partners who feel we have to raise our level of dignity Nimeunganisha na google adsense lakini napata hela kidogo sana dollar 0.6 kwa siku mara nyingine hakuna kabisa,

Kuhusu viewers napata 100-1500 kutegemea na siku naombeni ushauri wenu nifanye nini niweze pata hata dola 4-8 kwa siku??

Ushauri wako na mbinu utakazonipa ni muhimu sana kwangu. Natanguliza shukrani
 
Weka picha za mabinti wenye matako makubwa kutoka Instagram na copy and paste stori za ajabu ajabu kutoka kwa Shigongo! Hii ndiyo mbinu wanayotumia akina Lemutuz na wengineo akina Udaku Daily, Mpekuzi na wababaishaji wengine.
Kwa vile nchi hii kila mtu mwizi, huna haja ya kutoa credit. We copy na kupesti tu usijali. Hapa tu tayari ni 20,000+ viewers guaranteed!

Fungua akaunti ya Instagram na wafuatilie akina Masogange, Wema Sepetu, Mange, Lulu na wengineo. Hawa wakiposti picha zao za matako au ishu za ajabu ajabu (mf. bifu, skendo za mapenzi nk) nawe chepuka haraka haraka uziweke kwenye blog yako huku ukizipa Bonge la Heading (mf. Tako la Masogange laua mtu Sauzi). Ukitaka orodha ya mabinti wanaotamba Instagram sema nikupe.

Jaribu pia kuifanya blog yako iwe visible. Mf. Ukicomment kwenye blog kama za akina Millard Ayo, Michuzi na wengineo hakikisha kule chini unaweka jina lako na link ya blog yako. Fanya hivyo hivyo Facebook, Instagram, Twitter na kwingineko.

Mwisho - and this is very important. Hakikisha kuwa blog yako inakuwa updated at least mara 2+ kila siku. Changanya habari za magazeti, umbea, picha, habari za michezo, video za ajabu ajabu etc. Jaribu pia kuwa creative wewe mwenyewe ukiweza ili kuipambanua blog yako. Jiulize swali hili: Ni nini kitamfanya msomaji aitembelee blog yangu tena na tena? Kwa Millard Ayo watu wanaenda kila siku kuangalia vichwa vya magazeti karibu yote. Kwako itakuwa ni nini? Ukipatia utakuwa na loyal viewers ambao kila siku watapita kukusalimia. Hakikisha pia kuwa post zako zinakuwa linked na related posts. That way mtu akija hapo haondoki kirahisi. Be creative na usiogope kujaribu new things.

Hebu jaribu kuyafanya haya halafu jipe muda wa miezi mitatu then rudi utupe mrejesho. Na ikiwa imetiki basi haitakuwa vibaya ukininunulia angalau soda kwa ushauri huu. Good luck!
 
kwa blog yako ilivyo na matangazo yalivyo ovyo kupata viewer wengi na watakao click hzo ads ni ndoto za mchana,so jitahidi kuweka contents zinazoeleweka
 
Ndo maana nimekuja hapa ili nisaidiwe, nielekeze vzuri nini nirekebishe ili kutima hicho ninachokitaka
 
Option 1
Ukitaka kufaulu kupitia adsense tengeneza blog ya moja ya mada hizi

1. Health
2. Insurance
3.Law
4. Celebrities
5. Technology

Baada ya hapo utafute traffic kutoka Tier 1 Countries
Blogging platform bora zaidi kwa hili ni Wordpress.
Komaa na post za iyo mada pekeee then hapo ndio mwanzo wa mafanikio.

2. Tricks
ingawaje ni hatari unaweza fungiwa account yako, hii ni short cut ambapo ukiwakwepa, unakula hela kirahisi, ila watakukamata eventually.

Kwa mahitaji ya niche blogs
english unique Content za blog
Adsense optimization
0679732975
 
Jamani kuna hii blog yangu halo news: We are committed to working with partners who feel we have to raise our level of dignity Nimeunganisha na google adsense lakini napata hela kidogo sana dollar 0.6 kwa siku mara nyingine hakuna kabisa,

Kuhusu viewers napata 100-1500 kutegemea na siku naombeni ushauri wenu nifanye nini niweze pata hata dola 4-8 kwa siku??

Ushauri wako na mbinu utakazonipa ni muhimu sana kwangu. Natanguliza shukrani
Wachache sana watakua willing kukusaidia kiujamaa subiri wahitaji kifuta jasho
 
Weka picha za mabinti wenye matako makubwa kutoka Instagram na copy and paste stori za ajabu ajabu kutoka kwa Shigongo! Hii ndiyo mbinu wanayotumia akina Lemutuz na wengineo akina Udaku Daily, Mpekuzi na wababaishaji wengine.
Kwa vile nchi hii kila mtu mwizi, huna haja ya kutoa credit. We copy na kupesti tu usijali. Hapa tu tayari ni 20,000+ viewers guaranteed!

Fungua akaunti ya Instagram na wafuatilie akina Masogange, Wema Sepetu, Mange, Lulu na wengineo. Hawa wakiposti picha zao za matako au ishu za ajabu ajabu (mf. bifu, skendo za mapenzi nk) nawe chepuka haraka haraka uziweke kwenye blog yako huku ukizipa Bonge la Heading (mf. Tako la Masogange laua mtu Sauzi). Ukitaka orodha ya mabinti wanaotamba Instagram sema nikupe.

Jaribu pia kuifanya blog yako iwe visible. Mf. Ukicomment kwenye blog kama za akina Millard Ayo, Michuzi na wengineo hakikisha kule chini unaweka jina lako na link ya blog yako. Fanya hivyo hivyo Facebook, Instagram, Twitter na kwingineko.

Mwisho - and this is very important. Hakikisha kuwa blog yako inakuwa updated at least mara 2+ kila siku. Changanya habari za magazeti, umbea, picha, habari za michezo, video za ajabu ajabu etc. Jaribu pia kuwa creative wewe mwenyewe ukiweza ili kuipambanua blog yako. Jiulize swali hili: Ni nini kitamfanya msomaji aitembelee blog yangu tena na tena? Kwa Millard Ayo watu wanaenda kila siku kuangalia vichwa vya magazeti karibu yote. Kwako itakuwa ni nini? Ukipatia utakuwa na loyal viewers ambao kila siku watapita kukusalimia. Hakikisha pia kuwa post zako zinakuwa linked na related posts. That way mtu akija hapo haondoki kirahisi. Be creative na usiogope kujaribu new things.

Hebu jaribu kuyafanya haya halafu jipe muda wa miezi mitatu then rudi utupe mrejesho. Na ikiwa imetiki basi haitakuwa vibaya ukininunulia angalau soda kwa ushauri huu. Good luck!
Hahaha tako la masogange laua sauzi mkuu wewe ni mwandishi wa gazeti gani la udaku???? Maana ndo headlines zenu izi.
 
Mimi siyo mwandishi mkuu. Nilikuwa natoa ushauri kulingana na hali halisi ilivyo hapa kwetu. Watu hawataki kusoma mambo ya maana. Utajikunja wee kuandika makala ya kiuchambuzi na iliyotafitiwa vizuri kuhusu kilimo, ujasiriamali, ufugaji wa samaki wa kisasa n.k lakini unakuta ina wasomaji 10 wakati inayohusu tako la Masogange ina wasomaji elfu tano. Kama unatafuta clicks za Adsense kama huyu kijana si afadhali tu uandike kuhusu hilo tako la Masogange? Au we unaonaje?
 
hahaah mkuu umeua eti tako l masogange laua mtu sauzi. afu ndo headings nazoziweka kwenye website zangu na visitors wanakuja kibwena
 
Mkuu ahsante sanaaaaaaa, ushauri wako umenijenga kitu, naufanyia kazi kiukweli
 
Jamani kuna hii blog yangu halo news: We are committed to working with partners who feel we have to raise our level of dignity Nimeunganisha na google adsense lakini napata hela kidogo sana dollar 0.6 kwa siku mara nyingine hakuna kabisa,

Kuhusu viewers napata 100-1500 kutegemea na siku naombeni ushauri wenu nifanye nini niweze pata hata dola 4-8 kwa siku??

Ushauri wako na mbinu utakazonipa ni muhimu sana kwangu. Natanguliza shukrani
mkuu nitafute 0743497079 nitakuelekeza jinsi ya kupata hadi dola 20 kwa siku na kufikia saa 8 mchana umeisha zipata
 
Angalia. Kuna kutapeliwa. If it sounds too good to be true probably it is. Vinginevyo kila mtu angekuwa na blog. Siyo rahisi hivyo. Huyu jamaa lazima atakutoza pesa na frankly speaking may be atakuahidi kuweka link ya blog yako kwenye page zenye memba wengi somewhere. Watu watakuja na kuangalia mara moja haooo wanasepa halafu unarudi kule kule kwenye square one. Hakuna njia ya mkato jomba. Ipe uniqueness blog yako na ijenge (faithful) audience polepole kama nilivyokushauri hapo juu utafanikiwa tu. Jipe three months na fanya kazi kwa bidii. Siyo kazi rahisi ndo maana akina Millard Ayo na akina Michuzi wameajiri watu kabisa. Ukikurupuka wajanja wa mjini watakutandika pesa na hutaona sustained results yo yote. Work hard...!!!
 
Mimi siyo mwandishi mkuu. Nilikuwa natoa ushauri kulingana na hali halisi ilivyo hapa kwetu. Watu hawataki kusoma mambo ya maana. Utajikunja wee kuandika makala ya kiuchambuzi na iliyotafitiwa vizuri kuhusu kilimo, ujasiriamali, ufugaji wa samaki wa kisasa n.k lakini unakuta ina wasomaji 10 wakati inayohusu tako la Masogange ina wasomaji elfu tano. Kama unatafuta clicks za Adsense kama huyu kijana si afadhali tu uandike kuhusu hilo tako la Masogange? Au we unaonaje?
Kweli ila mi naona mwanzo mgumu taratibu unafika www.techackonline.blogspot.com nilianza na viewer wawili ambayo moja ni mimi mwenyewe nkawa napata kumi kwa siku sikukata tamaa.. leo napata 2000 kila siku na hapo sijaweka matangazo bado nasoma mchezo kwanza..
Sijapost tako la masogange wala la reykigosi
 
Blog yako ni nzuri na imejikita kwenye mambo ya teknolojia. Ukijikita kwenye kuweka maujanja ya ku-root simu, kudukua WiFi, kuongeza bundle kiujanja etc halafu ukaitangaza aisee itavuma sana. Kama ni mtaalamu wa haya mambo aisee changamka. Good job na kuanzia leo nitakuwa napita huko mara kwa mara kujifunza mambo.
 
Back
Top Bottom