DEWIS KAIJAGE
Member
- Jul 23, 2016
- 72
- 8
jamani naombeni usaidizi wa product key za wnds 8.1 coz pc inaandika Actevate windons
nimejaribu lakin wap mwenyenazo anisaidiegoogle hakika utazipata
jamani naombeni usaidizi wa product key za wnds 8.1 coz pc inaandika Actevate windons
Free Upgrade imeisha tayari ila kama ulipata ile Notification ya ku Upgrade kuja windows 10 na ukafanya kui Reserve nafikiri inawezekana ili mradi tu uwe na Internet ya kushusha hiyo OS!Mkuu njunwa wa mavoko nina dell vostro 200 desk top installed wnidow 8 naweza kuupgrade kwa 10?
Nipm email yako nikutumie loader/activatorJamani maomba msaada plz
Ya kununua kiasi gani maana mi muoga wa magumashi na sihisi maumivu kulipia kitu as long ni cha ukweliFree Upgrade imeisha tayari ila kama ulipata ile Notification ya ku Upgrade kuja windows 10 na ukafanya kui Reserve nafikiri inawezekana ili mradi tu uwe na Internet ya kushusha hiyo OS!
Ila bado waweza download Windows 10 huko torrent kisha ukai Extract kwa Power ISO au WinRaR kisha uka Run setup,windows itaji Upgrade bila shida
Ya kununua kiasi gani maana mi muoga wa magumashi na sihisi maumivu kulipia kitu as long ni cha ukweli
Siku hizi hakuna haja ya kufanya extraction, Unai-mount .iso file, then una-run content zilizomo.Extract kwa Power ISO au WinRaR kisha uka Run setup,windows itaji Upgrade bila shida
Check your email address
Check your email address[/Q poa subiri niangalie