misha nyangassa
Member
- Mar 29, 2015
- 95
- 41
Je kuna effects zozote zinazoweza kutokea kama ume root simu na ukawa unatumia huduma za pesa za mitandao? Any possibility ya kuibiwa pesa?
Cwez kukuelezea vizuri but emb download app inayoitwa(Root without PC) then utapata details zote. Yaan advantages and disadvantages za kuroot cmJe kuna effects zozote zinazoweza kutokea kama ume root simu na ukawa unatumia huduma za pesa za mitandao? Any possibility ya kuibiwa pesa?
Usijaribu Stop.!Je kuna effects zozote zinazoweza kutokea kama ume root simu na ukawa unatumia huduma za pesa za mitandao? Any possibility ya kuibiwa pesa?