Nina laptops aina ya Asus ni mini sasa Hdd yake ni kama 28 Gb nahitaji ku upgrade je hard disc zinaingiliana au zinatofautiana kutokana na mashine nahitaji ya 200Gb ebu nipeni na bei kabisa
Nimeinstall two outdoor AP( tp link TL WA5210g) ambz nimezconfigure into bridge mode ( point to point) . Nikirun timed ping y the other device napt reply chache sana. Distance btn them to is 20m...
Wakuu
Ninatumia lumia 1520 ilikuwa na window 8.1 sasa nika update kwa kutumia wi-fe ikaja window denim.
Baada ya hapo nikaingia update advisor wakaniambia naweza update window 10.
Nikarudi...
Habari wana ndugu kuna picha naonaga huku kwenye mitandao zinatoka vizuri na vitu ambavyo havihisiani na image inayokusudiwa hufifia na kubaki kitu kilichokusudiwa tu kinaonekana vizuri.
Je ni...
Habari wana wataalamu wa JF naomba kujua hizi applications zilivyotengenezwa, I need a vivid details since am newbie in the industry.
Mobile money (mpesa,tigo pesa,airtel money etc)..........i...
Yaani Internet inasoma fresh msg kwa whatsapp kama kama, ila simu haziingii pia hazitoki, msg za kawaida pia hazitoki haziingii , ktk setting nimeenda kwenye Sim management nikakuta voice calls...
wakuu naomba kuuliza ubora wa hizi Tv aina ya Star x...nimeona bei zake ni nafuu mno ukilinganisha na Lg,samsung etc..kama zina ubora wa picha nikanunue fasta...nimeona 43' inauzwa laki 650000
Habari
Nina printer ya Canon 2202, nimeitumia miezi 4 toka niinunue ikiwa mpya, lakini toka juzi nikitoa copy au kuprinter kuna wakati karatasi inatoka na powder au ukijaribu kufuta maandishi au...
Wadau,nimekuwekea hapa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo cha SAUT -SONGEA CENTER(AJUCO) Kwa mwaka wa masomo 2016/2017.Majina pia yapo kwenye website ya chuo ajuco. ac. tz
Makamu wa rais nchini Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa kuweka huduma ya mtandao wa Wi-Fi katika maeneo ya umma na yale ya burudani mjini Dar es Salaam.
Utekelezaji wa mradi huo wa...
Wana JF kwema? Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na os mbili za jamii ya android ambazo unaweza zitumia kwenye computer yako
1.remix os
2.phonex os
Kwa wale wenzangu na Mimi wenye...
Za jioni wadau
Naombeni msaada kidogo kwa wataalamu,simu ya tecno c8 haileti notifications kwa muda sahihi mpaka ufungue app husika ndo utapta notification mfano instagram,sms,whatsap,jfm na...