Msaada, simu hazitoki haziingii

Msaada, simu hazitoki haziingii

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,747
Reaction score
12,462
Yaani Internet inasoma fresh msg kwa whatsapp kama kama, ila simu haziingii pia hazitoki, msg za kawaida pia hazitoki haziingii , ktk setting nimeenda kwenye Sim management nikakuta voice calls off, messages off video calls off, data on, sasa sijui niende wapi kuactivate, msaada wapendwa
Chief-Mkwawa
 
Unatumia simu gani?
 
Mie nlipta tatzo kama hilo nkaenda OFISI YA UHAMIAJI tena HQ sahvi zinaingia na kutoka.
 
Wapigie TCRA itakuwa unafatiliwa nyendo zako.....
 
Sasa kama zipo OFF weka ON

Otherwse piga #35*0000#
 
Sasa kama zipo OFF weka ON

Otherwse piga #35*0000#
Yaani simu hazitoki, nafanya hivyo inanambia mobile network not available wakati ndo hii simu najibia hapa
 
Mbona unanitisha kasie, BTW namba zao ngapi

Sikutishi nimejaribu kuwaza tuu moja ya sababu za simu yako kuwa hivyo.
Namba zao hata sizifahamu labda uingie kwenye website yao.
 
nenda setting then call setting angalia humo unaweza ikuta hio option au alternative nenda sehemu unayopigia simu (dialer) halafu nenda setting zake then call reject halafu iruhusu.

pia hujawahi kueka app za kublock simu?
 
Kwa TECNO hilo tatizo huwa linatokea kama umeset network options katika option ya 4G only!.....kusolve hilo tatizo chagua zile zilizokuwa mixed e.g 4G/3G/2G auto
 
Apo kwenye sim management, toa iyo off then weka always ask endapo utataka line zote zifanya kazi ila kama utataka ifanye kazi line moja tu, bas weka on kwenye iyo line utakayohitaji ifanye kazi
 
Yaani Internet inasoma fresh msg kwa whatsapp kama kama, ila simu haziingii pia hazitoki, msg za kawaida pia hazitoki haziingii , ktk setting nimeenda kwenye Sim management nikakuta voice calls off, messages off video calls off, data on, sasa sijui niende wapi kuactivate, msaada wapendwa
Chief-Mkwawa
Weka ON
 
Back
Top Bottom