sanjomnyama
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 261
- 160
Habarini jaman ..,
Mwenye kujua ni zipi game nzur kwenye APP store za Iphone tujuzane tafadhali
Mwenye kujua ni zipi game nzur kwenye APP store za Iphone tujuzane tafadhali
Me huwa napendeleaga za action sanaMkuu wewe unapendelea game za aina gani labda ili wadau wawe specific na game unazopenda
Haya mambo ya game yanategemea sana na aina gani ya game unazipenda