General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
Wakuu
Ninatumia lumia 1520 ilikuwa na window 8.1 sasa nika update kwa kutumia wi-fe ikaja window denim.
Baada ya hapo nikaingia update advisor wakaniambia naweza update window 10.
Nikarudi kwenye phone update nikanza kuapdate mpk ilipofika kuinstal ikaniletea zile term na condtition ni accept.
Baada ya ku accept ndipo ikaanza kuinstal kwa zile ring kuzungukaa. Mwisho ikagomaa na kuniandikia kama hii screen shot chini.simu yangu ilikuwa na chaji ya kutosha.
Sasa sijajua tatizo nini, nime gugo lkn bado mauzauza na nimerudia process km mara 4.
Chief-Mkwawa