Kama upo Dar nitafuteMsaada jamani,yaani hii simu inashindikana kuweka application! Nimehangaika wataalam wote hawajui...
Ok..ni hivi mkuu,Hii simu mi nimepewa tu kutokana na shida zangu...nikiunga internet inakubali sasa nikitaka kuitumia hiyo internet ndo inakataa yaani hata kufungua google haitaki! Pia nikiweka nyimbo za video zinakubali ila Audio hazionekani kabisaaa....Ni hayo tu mkuu,msaada hata ushauri utafaa zaidi!MAELEZO HAYAjitoshelezi umefanya nini na nini? umekwama wapi na ulipokwama umepata error gani?
setting za internet umeeka?Ok..ni hivi mkuu,Hii simu mi nimepewa tu kutokana na shida zangu...nikiunga internet inakubali sasa nikitaka kuitumia hiyo internet ndo inakataa yaani hata kufungua google haitaki! Pia nikiweka nyimbo za video zinakubali ila Audio hazionekani kabisaaa....Ni hayo tu mkuu,msaada hata ushauri utafaa zaidi!
Yaani setup za internet zipo sawa....Tatizo haifungui browser yeyote na wala haitoi maelezo bro....