Karatasi iliyokuwa printed katoka na powder

KENNY JEEZY

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
271
Reaction score
279
Habari
Nina printer ya Canon 2202, nimeitumia miezi 4 toka niinunue ikiwa mpya, lakini toka juzi nikitoa copy au kuprinter kuna wakati karatasi inatoka na powder au ukijaribu kufuta maandishi au mchoro inafutika kana kwamba imeandikwa kwa powder, na wakati mwingine inaprint fresh kabisa , sasa sijajuwa tatizo ni nini.
Msaad
unahitajik
 
Na kweli. Msaad

unahitajik
 
tafuta fundi kuna vifaa vimeharibika, sijui vinaitwaje inaweza kuwa drum au taa/heater haifanyi kazi, ita tu fundi arekebishe
 
Back
Top Bottom