Unaweza weka tuNina laptops aina ya Asus ni mini sasa Hdd yake ni kama 28 Gb nahitaji ku upgrade je hard disc zinaingiliana au zinatofautiana kutokana na mashine nahitaji ya 200Gb ebu nipeni na bei kabisa
Mi nilikua na HP yangu ulikua na Hard disk ya GB 500 nikaupgrade to 1TB haikuwa na tatizo,yan hata ukiweka 500gb cdhan kama ni tatizoNina laptops aina ya Asus ni mini sasa Hdd yake ni kama 28 Gb nahitaji ku upgrade je hard disc zinaingiliana au zinatofautiana kutokana na mashine nahitaji ya 200Gb ebu nipeni na bei kabisa
Kumbe unazungumzia hivi vimini laptop ambavyo vinafanana na ipad kubwa (10")Ram ni 2Gb mkuu na 64bits ina run windows 10