kuna mwingine ametengeneza gari ni mtanzania lakini nimeona hii habari yake kupitia citizen tv.South africa engineers walikuja kumchukua sizani kama atarudi tena huku bongo lala
Wenzetu wamewekeza pesa nyingi kwenye tafiti za kisayansi na uvumbuzi sisi tumewekeza pesa nyingi kwenye siasa na mambo mengine ya kijinga kijinga tu kwa huu mfumo hatutaweza kuendelea kamwekuna mwingine ametengeneza gari ni mtanzania lakini nimeona hii habari yake kupitia citizen tv.
Hapana mkuuwalipanda ileile helicopter?
Chopa ipo inapiga ruti Tunduma-mbeyaWenzetu wamewekeza pesa nyingi kwenye tafiti za kisayansi na uvumbuzi sisi tumewekeza pesa nyingi kwenye siasa na mambo mengine ya kijinga kijinga tu kwa huu mfumo hatutaweza kuendelea kamwe
Eeesikopioni
[emoji23]Kuna mwingine anatoboa watu macho huko buguruni