Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nahitaji Mwenye Hicho Kioo Cha Samsung TV 32" model IPO hapo kwenye pic Contact 0767-929289
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kwenye jukwaa hili natafuta component tajwa. Ni kwa ajili ya drain pump ya Indesit wixl 143s washing machine. Nipo Arusha mjini, nimetafuta kwenye maduka ya electronics bila mafanikio.
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Wataalamu wa soka kwa kutumia Simu za android IPI ni app nzuri ambayo haigandigandi kati ya hizo nilizoziwakilisha kwenu yaani,mobikora,mobdro na kodi au kama kuna nyingine zaidi ya hizo.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ukiangalia smartphone ina vitu vingi sana ambavyo wengi wetu hawavitumii au hawajui. Wataalamu wa smartphone au techonojia ya simu mje mtiririke hapa kwa unachokijua. Inakuje baadhi contact...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu msaada kwa mwenye ujuzi kuhusu huo uzi hapo..juuu.na wapi naweza jifunza online..
1 Reactions
4 Replies
945 Views
Wakuu salam, Niende moja kwa moja kwenye mada, Hivi nawezaje kupata kitabu toka Amazon bila kukinunua ?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba mnijuze,ni TV ipi bora kati ya Sony na Samsung?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kampuni moja ya Israel inayowasaidia polisi kudukua simu za washukiwa wa uhalifu nchini Israel Cellebrite, imesema kuwa inaweza kudukua simu yoyote aina ya smartphone. Kampuni hiyo iligonga...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Simu yangu aina ya Samsung s4 imepoteza mtandao wiki ya pili sasa, japo bar za mtandao zipo full ila inagoma kuregister mtandao. Wakt nanunua waliiunlock hivyo nahs imei zake zilibadilika hapo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Smile unlimited naona imeniangusha sana mwezi uliopita ile ya 70,000 kuna wakati hata page kufunguka ilikuwa shida. Nataja nijaribu Smart, ya 70,000 kwa mwezi kuna mtu anaitumia sasa hivi? na ile...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi Azam tv haina blind scan? Maana nimesakua lakini cjaona Naomba msaada kwa yeyote anayejua masuala ya king,amzi cha Azam Asante.
0 Reactions
3 Replies
751 Views
Habari Naombeni MSAADA nahitaji custom domain kwa ajiri ya blog yangu ila tatizo sina visa card VIP kuna njia yoyote naweza ipata passipo kuwa na visa card
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hbari wadau nina Nokia lumia 830.Kioo kinarespond vizuri ishu i zile button tatu za chini yaani search, home na return hazirespond.Nimeifungua na kuweka weka ikanda bado hazirespod.Nimepeleka kwa...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
MABADILIKO kwenye mtandao maarufu wa simu, WhatsApp, yataanza rasmi leo wakati kipindi cha siku 30 cha kukubali masharti mapya kitakapomalizika. Mabadiliko hayo yanawataka watumiaji kusambaza...
0 Reactions
4 Replies
878 Views
Juzi wakati naendelea na utundu utundu wa simu nkajikuta naweka rom ya h6 kwenye TECNO p5....... Ikafanikiwa kuflash lakini tangia hapo inawaka lakin hata Maneno mf TECNO hailet...
0 Reactions
6 Replies
814 Views
Wanabodi, naomba mwenye keys za end note version yeyote au crack yake. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
443 Views
Salaam JF. Jamani kuna ndugu yangu kanitumia router na Adsl box plus ethernet cable na mobile kutoka Uk, sasa nimekukuruka kutengeneza wi-fi iliniweze kusambaza lakini nimeshindwa inaonyesha kule...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu naombeni key za GTA v...
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Kwa wanao fahamu frequency wanazotumia startimes kurusha matangazo yao mkoani Mbeya naomba kuzijua. Hizi ni baadhi nilizofanikiwa kuzipata DVB-T Agape(ting) 530Mhz bandwidth 8mhz Agape(ting)...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Wadau nina cm aina tajwa hapo juu napenda kuifanyia rooting nimejaribu kingroot imegoma je zaidi ya hapo nitumie app gani nzuri? Karibuni wataalamu.
0 Reactions
3 Replies
644 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…