Nawezaje kupata kitabu bila malipo kutoka amazon ?

Nawezaje kupata kitabu bila malipo kutoka amazon ?

jose mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
1,770
Reaction score
1,605
Wakuu salam,

Niende moja kwa moja kwenye mada, Hivi nawezaje kupata kitabu toka Amazon bila kukinunua ?
 
wakuu salam. niende moja kwa moja kwenye mada,
Hivi nawezaje kupata kitabu toka Amazon bila kukinunua?

Inawezekana kwa baadhi ya vitabu ni bure

Je nikitabu gani unahitaji? Huenda nikawa nacho nikuwekee hapa.

Kari u
 
Nashukuru kaka nahitaji General chemistry 10th edition solution manual,

Kimeandikwa na petrucci et.
 
Hapo ni sawa unasema nitapataje bidhaa za supermarket/dukani bila kununua ?
 
Nashukuru kaka nahitaji General chemistry 10th edition solution manual,kimeandikwa na petrucci et al

image.jpg
Karibu JF jose mjasiriamali
 

Attachments

Last edited by a moderator:
Mungu awajaalie wenye moyo kama nyie kwa kweli.
 
Nashukuru sana mkuu Mwl.RCT nimehangaika muda mrefu kutafuta hiyo manual.

MUNGU AKUBARIKI SANA.
 
Last edited by a moderator:
Mwl.RCT kwa unyenyekevu mkubwa nami naomba msaada wako nipate kitabu hiki A History of East Africa,
1592-1902
 
Last edited by a moderator:
Mwl.RCT
Much appreciation to you kwa utu,uungwana,hekima,busara na upendo uonyeshao ktk hili jukwaa na JF kwa ujumla..
 
Last edited by a moderator:
QUOTE=Frank Gotora;1










Mkuu naomba vitabu hivi viwili:

1: Entrepreneur roller coaster by Darren Hardy

2: The leader who had no title by Robin Sharma
 
Inawezekana kwa baadhi ya vitabu ni bure

Je nikitabu gani unahitaji? Huenda nikawa nacho nikuwekee hapa.

Kari u
Mkuu vp naomba kama unavyo hivi
PRE-TRIAL ADVOCACY: Planning, Analysis & Strategy na TRIAL ADVOCACY: Planning, Analysis, & Strategy vyote vimeandikwa na Berger,Mitchell & Clark.
Thanks much
 
Back
Top Bottom