Jinsi ya kurudisha imei kwenye Samsung galaxy

the muter

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
1,371
Reaction score
1,865
Simu yangu aina ya Samsung s4 imepoteza mtandao wiki ya pili sasa, japo bar za mtandao zipo full ila inagoma kuregister mtandao. Wakt nanunua waliiunlock hivyo nahs imei zake zilibadilika hapo. Nawezaje kuzipata na kuzirudisha imei zake za mwanzo.
 
Ukiangalia imei inakuja imei yako au imebadilika?
 
kwa sasa ukibadili imei simu ndo hvyo inagoma kuregister kweny network. kwan simu inachukuliwa kama feki, shikamoo tcu. kwa wale walioflash simu zao original enzi hzo zote zmefungwa. kama imei sio sahihi, huna jinsi. tumia simu kwa maswala mengine.. kama net tumia wifi
 
Simu yangu aina ya Samsung s4 imepoteza mtandao wiki ya pili sasa, japo bar za mtandao zipo full ila inagoma kuregister mtandao. Wakt nanunua waliiunlock hivyo nahs imei zake zilibadilika hapo. Nawezaje kuzipata na kuzirudisha imei zake za mwanzo.
Mkuu nenda nayo TCRA huenda hiyo simu inatafutwa itoe maelezo.
 
Back
Top Bottom