Msaada: Sony na Samsung TV

Msaada: Sony na Samsung TV

huwezi ukasema tv fulani ni bora kuliko nyengine kwa kuangalia tu majina sony na samsung. zipo tv nzuri za sony na zipo nzuri za samsung, zipo mbaya za sony na samsung hakuna kampuni ambayo bidhaa zake zote 100% ni nzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom