Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari Nina printer ya Canon 2202, nimeitumia miezi 4 toka niinunue ikiwa mpya, lakini toka juzi nikitoa copy au kuprinter kuna wakati karatasi inatoka na powder au ukijaribu kufuta maandishi au...
0 Reactions
3 Replies
814 Views
Wadau,nimekuwekea hapa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo cha SAUT -SONGEA CENTER(AJUCO) Kwa mwaka wa masomo 2016/2017.Majina pia yapo kwenye website ya chuo ajuco. ac. tz
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Habarini jaman .., Mwenye kujua ni zipi game nzur kwenye APP store za Iphone tujuzane tafadhali
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Makamu wa rais nchini Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa kuweka huduma ya mtandao wa Wi-Fi katika maeneo ya umma na yale ya burudani mjini Dar es Salaam. Utekelezaji wa mradi huo wa...
1 Reactions
76 Replies
14K Views
Wana JF kwema? Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na os mbili za jamii ya android ambazo unaweza zitumia kwenye computer yako 1.remix os 2.phonex os Kwa wale wenzangu na Mimi wenye...
0 Reactions
5 Replies
972 Views
Za jioni wadau Naombeni msaada kidogo kwa wataalamu,simu ya tecno c8 haileti notifications kwa muda sahihi mpaka ufungue app husika ndo utapta notification mfano instagram,sms,whatsap,jfm na...
0 Reactions
4 Replies
978 Views
Wakuu habari nimenunua hdmi cable hivyo nikaunganisha laptop na lcd flat screen 32 inches series 4 ya samsung changamoto niliyokutana nayo nimeshindwa kupeleka sauti kwenye saboofer msaada...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu Sasa tumeshusha bei mpaka 35000 Kwa domain hii ikiwepo 1GB Mysql space and 40GB bandwidth, na pia tutakutengenezea website Kwa gharama nafuu kabisa. Tuwasiliane 0687535650
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Nimeweka hii OS kwenye computer yangu na imekaa vizuri, ngoma nzito kwangu imekuwa ni kuunga au ku-connect Internet, nimeshindwa kabisa. Nimejaribu kwa modem, use tethering, Bluetooth tethering...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Kuna mabadiliko makubwa yametokea ya jinsi mfumo mzima wa anuani za tovuti mbalimbali zinasimamiwa. Kwa kiasi flani tunaweza sema serikali ya Marekani imepoteza umiliki wa intaneti. Jumamosi hii...
1 Reactions
0 Replies
840 Views
Habari zenu wakuu naomba msaada wenu nina iphone 5s lakin siku za hivi karibuni imeanza kunisumbua yaani nikiiwasha naweza kutumia kwa dakika 20 kisha inaonyesha blue screen baada ya hapo...
0 Reactions
1 Replies
866 Views
anayejua free vpn ya kwenye pc inayo work under proxy server na haidisconnect kwa mda mfupi. nmetumia open vpn lakin sijaona sehemu ya kuconfigure proxy, hidemyass nikiitumia inaingia youtube...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Naomba mnisaidie jinsi ya kuunlock vf685
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Hii aina ya modem imenipa kazi sana ku-unlock na bado sijafanikiwa. Kuna toturial za ku-unlock hii moderm kwa dc unlocker lakin kwa hii aina ya modem lazima ulipie. Wataalamu wenye ujuzi wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi. Katika pitapita zangu mtandaoni nimkutana na Cyber Class inayotolewa na TZ-CERT (Timu ya Mwitikio wa Kukabili Majanga ya Kompyuta Tanzania). Katika darasa hilo linalopatikana hapa...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Hivi jaman,,kubadili rangi katka thread kuwa nyekundu, blue, yellow unafanyaje? Natumia Techno Y3
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wadau, Nimeona hili tangazo mahali, kazi kwenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nina simu iphone4 toka Japan nimepewa zawadi lakini inagoma kusoma mitandao ya huku. Mwenye kujua wapi naweza kuifungua na kwa gharama gani anijuze. Au ndo haiwezi fanya kazi niwape watoto...
0 Reactions
3 Replies
800 Views
Jaman nsaidien cm yangu n j8nkienda pakutuma audio inakuja recorder na watap record bc amna mzk mngne... Nsaidien wadau [emoji25]
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…