Msaada: Unlock modem k3772-z

Msaada: Unlock modem k3772-z

zeromagic

Senior Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
186
Reaction score
67
Hii aina ya modem imenipa kazi sana ku-unlock na bado sijafanikiwa. Kuna toturial za ku-unlock hii moderm kwa dc unlocker lakin kwa hii aina ya modem lazima ulipie.

Wataalamu wenye ujuzi wa ku-unlock aina hii ya modem bila malipo ya euro naomba msaada.
 
Tumia DC-Unlocker nafikiri inauzwa kama 8$ ku Unlock hiyo modem!

Ukisha press Unlock Sniff AT commands itakazotuma kwenye modem kui Unlock afu ututumie hapa ili jukwaa letu tuweze kupata hayo maujanja ya ku Unlock
 
mkuu, nawezaje kulipa hyo 8$ pasipo kutumia card ya benki. kuna njia nyingine ya kulipa?
 
Back
Top Bottom