Msaada : iphone 5s inaji—restart mara kwa mara

Msaada : iphone 5s inaji—restart mara kwa mara

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
1,716
Reaction score
1,842
Habari zenu wakuu naomba msaada wenu nina iphone 5s lakin siku za hivi karibuni imeanza kunisumbua yaani nikiiwasha naweza kutumia kwa dakika 20 kisha inaonyesha blue screen baada ya hapo inajizima na kujiwasha yenyewe..... Msaada wenu tafadhal
 
Back
Top Bottom