Phoenix OS inanitoa kijasho

ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
1,028
900
Nimeweka hii OS kwenye computer yangu na imekaa vizuri, ngoma nzito kwangu imekuwa ni kuunga au ku-connect Internet, nimeshindwa kabisa.

Nimejaribu kwa modem, use tethering, Bluetooth tethering na Wi-Fi hotspot zote zimenizingua. Naombeni maelekezo nifanyeje?
 
kwangu inakubali kwa tethering, unajiwashia wifi unaconect. wewe ukijaribu kuconect unapewa error gani?
 
Sio window mkuu umeambiwa phoenix.....ungeuliza hivi hiyo OS inakubali kwenye pc yenye sifa (specification) zipi?.....jifunze matumizi sahihi ya OS na windows...
Hivi kumbe ni window na OS ni vitu viwili tofauti, nitashukuru kama utanielekeza nujue nini ni nini kati ya hivyo.
 
1. sio windows ni custom version ya android ila ina muonekano kama wa windows. ukiieka utakuwa unaweka apps za android

2. pc yoyote yenye ram kuanzia 1gb inakubali
Mkuu kwani window na OS tofauti take ni nini? Pc yangu nikiipeleka kwa fundi nikimwambia aniwekee OS ya xp au window xp 8 aeleweka ni kitu kimoja, ila kuna mdau hapo juu amesema window na os ni vitu viwili tofauti, naomba kujua tofauti take.
 
Hivi kumbe ni window na OS ni vitu viwili tofauti, nitashukuru kama utanielekeza nujue nini ni nini kati ya hivyo.
OS ni kifupi cha Operating System, OS zipo aina tofauti iOS, android, windows, linux etc. So ukiangalia hapo utaona windows ni aina mojawapo ya OS.....ni makosa uliposema "hiyo window inahitaji pc yenye sifa zipi" ukimaanisha phoenix OS aliyoizungumzia mtoa mada.
 
Asante kwa ufafanuzi, Mimi nilidhani Phoenix ni OS kama xp, ubhuntu, lunux ect.
 
1. sio windows ni custom version ya android ila ina muonekano kama wa windows. ukiieka utakuwa unaweka apps za android

2. pc yoyote yenye ram kuanzia 1gb inakubali
Kuna muda unanifurahishaga sana chief-mkwawa unavyochambua unavyovijua....na kuna muda unazinguaga sana kwa vitu usivyovijua...ila heshima kwako
 
Akhsanteni wadau wa jukwaa hilii,hatimaye nimefanikiwa kwa kufuata maelekezo ya chief mkwawa hapo juu,thanks alot!
 
2682e60789ac511d36214457c817a025.jpg

Kitu android ndani ya pc ashukuriwe chief mkwawa.
 
Mimi nimenyoosha mikono Kila nikijaribu kuiweka hiyo Phoenix nikiwasha inaniambia kuna error haikubali mwisho nimeachana nayo tu
 
vitu viwili tofauti kabsa, OS ni operating systeam. au tunaweza sema os ni kama gari na window ni engine. so kuna engine za aina tofaut. OS zipo za aina mbalimbali mfano ndio window, android na symbian nk. nimeshindwa toa mifano vizuri ila kam hujaelewa kabsa unaweza ulza zaid
 
Mimi nimenyoosha mikono Kila nikijaribu kuiweka hiyo Phoenix nikiwasha inaniambia kuna error haikubali mwisho nimeachana nayo tu
subiria chrome os mwezi wa sita/saba itapata update ya kuiwezesha kurun apps za android na playstore kabisa, ikitoka hio update watu wataiport hadi firefox, google chrome na opera
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom