Kutuma audio whatsap

Kutuma audio whatsap

Joined
Sep 27, 2016
Posts
44
Reaction score
7
Jaman nsaidien cm yangu n j8nkienda pakutuma audio inakuja recorder na watap record bc amna mzk mngne... Nsaidien wadau [emoji25]
 
tumia file manager, nenda kama unataka kuiplay nyimbo chagua button ya share halafu chagua whatsapp
 
Inaezekana kuna sehem kwa juu yenye symbol ya attachement click then choose your file
 
tumia file manager, nenda kama unataka kuiplay nyimbo chagua button ya share halafu chagua whatsapp
MKuu Chief Mkwawa na mm nimekumbana na tatizo km hilo
ila nilihamisha music kutoka Whatsapp na kuzipeleka kwenye Folder la Yahoo na huko zipo salama
sasa nataka niwe nazirudisha ilu kusisikiliza kwenye Whatsapp
  • Basi hata kwa kutumia Yahoo ya kwenye smartphine niwe nazisikiliza kote nashindwa
  • huko kwenye Yahoo siioni icon ya Whatsapp
ni hapo tu Mkuu
 
kwanini usitumie file manager? download es file explorer store itafanya kila kitu. fungua file manager lako kisha nenda kwenye mafile yako halafu play
 
kaka sorry nimejaribu kukufuata P.M bt nimeshindwa ! nina rafiki yangu ana tshs 200,000 ni simu gani nzuri anaweza pata??
 
mkuu budget hio ni ngumu sana kupata simu ya kisasa, mara nyingi inabidi utafute simu used au ukanunue ambayo ni locked kwenye mtandao wa simu yenye specs nzuri. kama unataka used cheki simu kama galaxy grand prime utaipata bei hio.
 
kaka kwa mfano akinunu zile za tigo say huwawei inawezakana ku flasha na ukatumia kwa lyn yyte au kuna madhara ya kufanya hvyo?
 
kwanini usitumie file manager? download es file explorer store itafanya kila kitu. fungua file manager lako kisha nenda kwenye mafile yako halafu play
Mkuu Chief nashukuru sana sikulijua hili la ES File Explorer maana
limerudisha nyimbo zote psmoja hata za kwenye yahoo
 
Back
Top Bottom