Iphone 4 kutoka Japan inakataa kushika mtandao

Iphone 4 kutoka Japan inakataa kushika mtandao

Tmlekwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
258
Reaction score
241
Wadau nina simu iphone4 toka Japan nimepewa zawadi lakini inagoma kusoma mitandao ya huku. Mwenye kujua wapi naweza kuifungua na kwa gharama gani anijuze. Au ndo haiwezi fanya kazi niwape watoto wachezee?
 
Duh! Sasa ukiwapa watoto wachezee ndyo itasoma ndugu! Itunze tu maana kila sku maendeleo yaja na ipo siku itakua poa,maana wahenga walisema akiba haiozi.
 
Back
Top Bottom