msaada:free VPN inayotumia proxy na haidisconnect kwa mda mfupi.

zeromagic

Senior Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
186
Reaction score
67
anayejua free vpn ya kwenye pc inayo work under proxy server na haidisconnect kwa mda mfupi.
nmetumia open vpn lakin sijaona sehemu ya kuconfigure proxy, hidemyass nikiitumia inaingia youtube lakin siwez kuplay video naambiwa video file un available. vpn ambayo nmebahatisha inayowork under proxy server ni psiphon3, lakin tatizo inadisconnect kwa mda mfupi. msaada tafadhari
 
mkuu open vpn mbona inakubali? ukishaifugua si inajificha chini kwenye taskbar? itafute pale chini icon yake then right click halafu chagua setting utaona sehemu ya kueka proxy
2wcgww8.jpg
 
Vpn inahitaji uwe na lainipya pamoja na Id mpya ili uwe annonymous.
 
mkuu open vpn mbona inakubali? ukishaifugua si inajificha chini kwenye taskbar? itafute pale chini icon yake then right click halafu chagua setting utaona sehemu ya kueka proxy
2wcgww8.jpg
chief. naomba link ya kudownload hyo openvpn. nahs openvpn niliyoijarib mm ni magumashi haifanani na hzo screen shot zako, wameiga tu jina.
 
1. open vpn haifanyi kazi hadi uwe na config, hizi config nyingi ni za kulipia ila pia zipo za bure
2. download official site ya open vpn
Downloads
 
mkuu open vpn mbona inakubali? ukishaifugua si inajificha chini kwenye taskbar? itafute pale chini icon yake then right click halafu chagua setting utaona sehemu ya kueka proxy
2wcgww8.jpg

boss, bado sijaiona hyo sehemu ya kuchange proxy...
1475585286726.jpg
. na nikibonyeza settings, kati ya settings zinazokuja haipo sehemu ya kubadili proxy.
hata mwonekano wa open vpn yangu s kama ya snap uliyotuma
 
boss, bado sijaiona hyo sehemu ya kuchange proxy... View attachment 412040. na nikibonyeza settings, kati ya settings zinazokuja haipo sehemu ya kubadili proxy.
hata mwonekano wa open vpn yangu s kama ya snap uliyotuma
mkuu hio sio open vpn yenyewe na hujadownload link niliyokupa

open vpn ni open source mtu anaweza modify anavyotaka, hivyo huenda hio imeshakuwa modified.

na ukiwa na open vpn config unatafuta mwenyewe
 
asante mkuu. nmefanikiwa kuinstall.
je wap naweza kupata free config
 
asante mkuu. nmefanikiwa kuinstall.
je wap naweza kupata free config
Mara ya mwisho VPN ya bure niliowatumia ni vpnbook google utawapata. ila kila baada ya siku kadhaa unatengeneza config upya
 
Back
Top Bottom