Itakuwa fake hiyoWakuu habari nimenunua hdmi cable hivyo nikaunganisha laptop na lcd flat screen 32 inches series 4 ya samsung changamoto niliyokutana nayo nimeshindwa kupeleka sauti kwenye saboofer msaada nifanyeje?cc @ Chief Mkwawa
Umemaliza kabisa, mchina kafanya yakeItakuwa fake hiyo
kwenye TV yako nyuma haina option ya audio out?Mkuu huo waya ninayo inshu ni kuwa sauti inatoka kwenye tv tu ukiconnect earphone kwenye laptop hupati sauti yoyote
Option ipo ila nimejaribu naona jii nahisi ni kwa ajili av1/av2 tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Umemaliza kabisa, mchina kafanya yake
tv nyengine kwenye video (port ya njano) kunakuwa na in tupu ila kwenye audio (nyekundu na nyeupe) zinakuwa in na out angalia vizuri. kama hakuna chomeka huo waya kwenye port ya earphone ya tv. nafkiri kila tv inayo hio portOption ipo ila nimejaribu naona jii nahisi ni kwa ajili av1/av2 tu