Hongera TCRA kuanzisha Free Online Cyber Class

Third Eye

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
373
209
Ndugu wanajamvi.
Katika pitapita zangu mtandaoni nimkutana na Cyber Class inayotolewa na TZ-CERT (Timu ya Mwitikio wa Kukabili Majanga ya Kompyuta Tanzania). Katika darasa hilo linalopatikana hapa unaweza kujifunza;

1. Jinsi ya kutumia salama mitandao ya kijamii.
2. Ulinzi na usalama wa neno lako la siri.
3. Jinsi ya kujilinda na matapeli mtandaoni.
4. Jinsi ya kumlinda mtoto mtandaoni.
5. Muhtasari wa SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO, 2015.

Kwa hili niwape hongera, maana wanajitahidi kufikisha elimu kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom