[emoji121]Hivi jaman,,kubadili rangi katka thread kuwa nyekundu, blue, yellow unafanyaje? Natumia Techno Y3
Kama ivo wakuu
Google! maana naona hawajiKama ivo wakuu
Mpendwa una bofya herufi A yenye mstari chini halafu chagua rangi !!!Kama ivo wakuu
MKUU,Mpendwa una bofya herufi A yenye mstari chini halafu chagua rangi !!!
Mie natumia mpakato.. Mr SenetaMKUU,
HII NI KWENYE SIMU AU KOMPYUTA?
Sasa ona ninvyo kujibu..hapo juu mbele yako huoni Herufi AWe unamia keypad ipi?
javascript:void(null);Hapo rangi nachagua vip wakuu
Kwani watumia L/Top au simu au Deski?Poa ngoj nitest