Msaada: Laptop hai-burn DVD

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
371
Habari zenu Professionals
Naomba msaada LAPTOP yangu inakataa kusoma DVD ninataka Ku burn haisomi kila DVD empty nikiweka inaanyesha X kwamaana hairambui..nimrjaribu aina nyingi za DVD lkn wapi
Naomba msaada hapo shida inaweza kuwa wapi?
 
Fungua control panel kisha chagua "Hardware and Sound" halafu "AutoPlay" kila sehemu kwenye hizo option weka "Ask me every time" halafu save, karibu kuona kama haitaonekana, kama haitasoma kutakuwa na tatizo la driver za cd rom na solution ni kufanya update ya driver
 
Mkuuu naanyaje hapo kwenye Ku update driver za CD ROM?
 
Mkuuu naanyaje hapo kwenye Ku update driver za CD ROM?
Right click kwenye icon ya computer au my computer halafu 'manage' kisha chagua 'Device Manager' utaona sehemu imeandikwa 'DVD/CD-ROM drives' or whatever kitu kinachofanana na hapo halafu expand utaona aina driver yake mfano PLDS DVD +-RW DU A3S ATA Device na kisha right click utaona 'Update Driver Software'.
NB: Before doing that make sure you have connected your computer with strong Internet connection
 
Back
Top Bottom