msaada hapa kwenye pc

msaada hapa kwenye pc

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,784
Reaction score
6,179
Naomba msaada..

Niliacha PC yangu nyumbani kwa mdogo wangu sasa nimekuta yafuatayo .
1.desktop icon zote zimehamia kulia....
2.program zote zipo kama kawaida lakini nikizifungua ni kama ndo naanza kuziinstal.... Yaani naweka setting kwa upya..
Mfano virtual DJ hata sampler nilizorecord sizioni....

Naomba msaada Wa mambo mawili..
1.Dogo kafanyaje hapo hadi imekuwa hivyo?
2.je narudisha vipi zile default setting zangu kwa programs..

N.b natumia window 8.1 pro..
_nashukuru_
 
Back
Top Bottom