Jinsi ya kuondoa "Run as administrator"

Jinsi ya kuondoa "Run as administrator"

h120

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
2,545
Reaction score
3,370
Kufungua application zinazotaka administrator privileges, au application ambazo hazifunguki mpaka uzi run as administrator, kwa ku right click app husika na kuchagua kutoka kwenye dropdown menu, “Run as administrator”

Jinsi ya kuzifungua sasa kwa njia ya kawaida ya double clicking

Right click app husika nenda properties, itatokea dialog box, kisha nenda kwenye compatibility tab kisha weka tick kwenye option ya “Run this program as administrator” kisha apply.

Baada ya hapo utaweza kuifungua kwa double clicking au enter key.

Video
 
Back
Top Bottom